TatuMzuka yamkabidhi zawadi mshindi wa milioni 50
Judith
Bujinginya mkazi wa wilaya ya Ngara Mkoani Kagera ameibuka mshindi wa
jackpot ya Tatu Mzuka ya shilingi milioni 50 katika droo ya 15
iliyofanyika jumapili.
Bi Bujinginya, mama wa watoto wawili
ambaye anaungana …Read More
Tatu Mzuka yachangia Milioni 100 kuufanya mji wa Dodoma kijani
Serikali imepokea hundi ya Shilingi
milioni mia moja kutoka kampuni ya The Net Work inayochezesha mchezo wa
Kubahatisha wa Tatu Mzuka leo Mjini Dodoma kama hatua ya kuunga mkono
juhudi za serikali katika Kuboresha Mazin…Read More
Profesa Kitila Mkumbo ajiunga CCM
Aliyekuwa kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Profesa Kitila Mkumbo amejiunga na
Chama cha Mapinduzi (CCM), taarifa ya Prof. Mkumbo kujiunga CCM
imetolewa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida, Martha Mlata.…Read More
Lulu anaweza kukaa jela mwaka mmoja na miezi minne
Kwamujibu wa sheria za kimagereza kumbe mfungwa yeyote anapohukumiwa kwenda jela hupata msamaa wa moja ya tatu ya sheria za kimagereza. Afisa wa jeshi la Magereza Lucas Mmboje amezungumza hayo kwa njia ya simu na J…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment