Malikia wa muziki wa rusha Roho nchini Tanzania Bi Isha Mashauzi ameachia wimbo wake mpya wa Nibembeleze. Isha alikaa kimya kwa muda, lakini leo 20 January 2018, ameachia wimbo huo ikiwa ni Audio na Video
KATIBU WA WILAYA CHADEMA AJIUNGA CCM
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahmani Kinana akipiga makofi wakati Braison Mwasimba aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha
CHADEMA wilaya ya Chunya aliporejesha kadi yake ya chama hicho na
kujiunga na chama cha Mapin…Read More
OMMY DIMPOZ ASHIRIKISHWA NA DJ MAARUFU AFRIKA KUSINI
Ommy Dimpoz ameendelea na mikakati yake ya kujiimarisha
zaidi nje ya Tanzania na hivi karibuni alipohudhuria tuzo za CHOAMVA
2013 jijini Johannesburg, Afrika Kusini alitumia fursa hiyo kutengenez…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment