May 25, 2013


   Ni kama mziki wa makundi East africa unaendelea kuonyesha umetushinda,we all know Camp Mullah,kundi la mziki toka kwa Uhuru Kenyatta lililofanya poa sana last year mpka kupelekea kupata chance ya kwenda kuwania tuzo kubwa za BET,na watu kuamini kua amekuja mkombozi wa kuupeleka kimataifa mziki wa Kenya na East afrika but confermed story toka area 254 zinasema kuwa kundi hilo limevunjiaka baada ya members wawili kujiondoa
                                                                       Miss Karun
  Anaitwa Miss Karun na alifahamika kama malikia wa kundi na walimtegemea zaidi kwa swala zima la kuingiza vocal tamu ya k*** lakin she is no more Camp mullah member sababu zikisema kuwa anaenda US kujiunga na chuo lakin pia kufanya muziki kama solo.
                                                                        Taio Tripper    
   Anafahamika kama Taio Tripper,naye kajitoa ambapo atafanya muziki kama solo artist
Hii hapa statement ya record lebo ya Camp mullah kuhusu hawa members kujitoa
 "It is true that Miss Karun is no longer with the group; she has left the group to prepare to join University in the USA in August. She’s also working on solo projects. Another of the group’s former members, Thee Mc Africa (previously known as The Taio Tripper) is also pursuing a solo career. Both Miss Karun and Thee Mc Africa are wished all the best in their pursuits"
Member waliobaki wataendelea na kundi kama kawaida.

Chanzo teentz.com

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE