
MANGWEA ENZI ZA UHAI WAKE
Mwanamuziki wa bongo freva nchini Tanzania Albert Mangwea maarufu kama Man Ngwea Amefariki dunia muda mfupi uliopita katika Hospital ya St Hellen ya nchini Afrika ya kusini
sababu za kifo chake toka kwa mtu wa karibu:

sababu za kifo chake toka kwa mtu wa karibu:

Habari kutoka kwa mtu wa karibu na Rapper Ngwea, aliejitambulisha kwa jina la Hamisi, amesema Ngwea alikua kule kwa mualiko wa kufanya show South Africa, ambapo alikua na msanii mwingine anaeitwa M to the P, na walitakiwa kuondoka leo kurudi Dar saa tatu asubuhi, lakini baada ya kuona hawatokei ndio wakaamua kwenda walipokuwa wamefikia na kuwakuta wote wawili wakiwa hawajielewi baada ya kujidunga madawa ya kulevya mengi (overdose), walipowahishwa hospitali, habari ndio ikawa hivi, kuwa Ngwea amefariki na M to the P yuko hoi hospitali
May God give you peace brother.
>
0 MAONI YAKO:
Post a Comment