Usiku wa leo muda mfupi toka sasa mtangazaji tika Clouds fm mwenye sauti matata mwana dada Tanzania diva lovenesslove DIVA anaadhimisha miaka yake yakuzaliwa ndani EMBERSODER LODGE MKAPA TOWER. kutakuwa na show kababmbe pamoja na party ya kufa mtu.
Blog hii inakutakia maisha marefu yenye kheri na baraka tel Tanzanian DVA lovenesslove
0 MAONI YAKO:
Post a Comment