
Wanamuziki chipukizi toka Dar Salma and Sir Datty wanaotamba na wimbo wao wa Ngoja kisogo ni miungoni mwa wasanii watakaoipamba show ya Ney wa mitigo katika kutamburisha video ya mziki gani katika ukumbi wa maisha club hapo kesho. Akitia nami story Ney amesema hao ni moja ya wasanii anaowakubali hivyo ameona ni vyema akiambatana nao katika show hiyo ambayo vide yake imwzinduliwa kwa mara ya kwanza katik ukumbi wa Dar live J.mos iliyopita na kesho watafanya utambulishi hapo Clum Maisha
0 MAONI YAKO:
Post a Comment