June 07, 2013


 
                                       Hapa mafundi wanaweka mitambo sawa !!
IMG_0730
                                        Wako bize ajabu ili mradi mambo yaende sawa!!
IMG_0734
                                                   Maandalizi yanaendelea!!
 
  Kesho ndio siku yenyewe ambayo wasanii waliotajwa kuwania tuzo za mwaka huu za muziki wa Tanzania, Kilimanjaro Tanzania Music Awards, KTMA watajua hatma yao.

    Tuzo za Kili zitatolewa kesho June 8 kwenye ukumbi wa Mlimani City 
     jijini  Dar  es Salaam. 
 
Chanzo  babamzazi.com

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE