June 06, 2013

Izzo Bizness
Daudi wa Kota, Machaku na God wa watu poli

Daudi wa Kota,Dev wa Maisha Plus,Cheka,Afande Sele, Koba mc

Dayna Nyange pamoja na mi Ahmad Machaku

ChidBenz Pamoja na Mwandishi wa TUTOKE online Magazine bwana Ngwesa

Stamina

Mchizi Mox na washikaji wengine wakiwa eneo la msiba

T.I.D akiwa na Omary

Mr Blue Akiwa na washikaji wake jamhuri pale ulipoagwa mwili wa marehe na umati mkubwa wa wakazi wa Morogoro
Mad, Godzilla pamoja na wengine wakiingia eneo la maombolezo
Afande Sele the King  akisisitiza jambo
P Funk pamoja na Dev wa maisha plus
 Hawa ni baadhi tu ya wasanii walijitokeza kumzika msanii mwenzao hapa Morogoro kwa kweli walijitokeza wengi na wameonesha ushirikiano mzuri wa kuigwa

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE