June 25, 2016

 

Mchezo wa Yanga na T P Mazembe unaotarajiwa kuchezwa June 28 katika uwanja wa Taifa jijin Dar Es Salaam 

Katiak mchezo huo viingilioa vyatajwa kuwa ni

 Majukwaa yote ya Mzunguko: 7,000

VIP: 30,000

Mashabiki, wapenzi na wanachama mnaombwa kufika kwa wingi kuwapa hamasa vijana, Hamasisha na wengine, Tiketi zitaanza kuuzwa jumatatu 27/6/2016

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE