July 02, 2013


  Msanii  wa  muziki  wa bongo  freva  Criss wamarya, atawasindikiza na kuwapamba warembo wanaowania  taji la Miss  Star  katika ukumbi Hotel  ya Nashera ya mijini  Morogoro Ijumaa ya Th  5 July  2013.
     Criss ameahidi show kali huku mratibu wa shindano il ndugu  Charles  Odinga akiwataka wana Morogoro kujitokeza ili washuudie Kinyang'anyiro hicho ambacho kwa mara ya kwanza mkoani  hapa.

  Pia  mwanadada  Joha  Khasim T. Moto Taarab, Dar  classic  Girls, Double Vibration Moro, na warembo kibao tka Tanga, Dar, Zanziba nk.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE