July 16, 2013

         

   Dayna Nyange ni moja ya wasanii  wa kike  hapa Tanzania wanaofanya vizuri na kukubalika sana katika jamii ya  wapenda Burudani Afrka mashariki.  Sasa kama hujawahi kumuona akiwa jukwaani akifanya show, tumia muda huu kutazama moja ya show zake akiwa na kundi lake la wakali Classic. Hapa ni Jamhuri Dodoma

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE