July 16, 2013

  
Hii ni video ya ngoma mpya kutoka kwa msanii Mams akiwa sambamba na msanii kutoka Watu Pori maarufu kama Koba Mc ambae hadi sasa anatamba na baadhi ya ngoma zake kama Sina Noma Nae na nyinginezo.
Sasa mpya kutoka kwa wasanii hawa ni kuwa kwa pamoja wameachia video ya ngoma yao inayokwenda kwa jina la “ZOBA”.
Ambapo audio ya ngoma hiyo ilifanywa ndani ya studio ya Digital Vibes chini ya   Producer  GQ na Video imefanywa na kampuni ya Next Play chini ya Director The One.

Related Posts:

  • AFTER SCHOOL BAS, KIMENUKA UPYA   Ile show kubwa kwaajili ya wanafunzi inayofanyikaga mara moja tu kwa mwaka imerudi tena jumamosi hiiya Tarehe 13 December tunakutana kwenye ufukwe wa escape one Mikocheni kuanzia saa nne kamili Asubuhi  W… Read More
  • YANGA YAIFANYIA UMAFYA SIMBA, WAMSAINISHA MRWANDA USIKU   HABARI zilizotufikia usiku wa kuamkia leo, zinasema kuwa Mshambuliaji wa timu ya Polisi Moro, Danny Mrwanda, amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia Klabu ya Yanga ya jijini Dar es salaam Imekuwa ni … Read More
  • HABARI NJEMA KWA WADAU WA JIMM CARTER Mabadiliko Na Mwonekano Mpya Jimmcarter.com Kuingia mwaka 2015 jimmcarter.com imebadilika mwonekano wake ambao umeboreshwa zaidi kwaajili ya wewe mpenda burudani , NA MWONEKANO WAKE SASA UKO HIVI .SHARE NA RAFIKI UJUMB… Read More
  • NEW VIDEO/ HAMJUI - VANESSA MDEE Mwana muziki Vanessa Mdee Veemoney hapa anakupa ruhusa ya kuitazama video yake mpya ya Hamjui, iliyofanyika kwa viwango vya juu sana. hii ni miungoni mwa video zitakazoleta mageuzi makubwa sana ya soko la muziki wetu &nbs… Read More
  • DIAMOND SASA HAWEZEKANI, AINGIA NDANI YA TUZO ZINGINE NIGERIA   @diamondplatnumz yupo nominated kwa tuzo hizi zingine za nchini Nigeria#The_Headies kama #BestAfricanArtiste Kumpigia kura we bonyeza http://hiphopworldmagazine.com/theheadies/vote2014/ then weka screen rot… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE