December 10, 2014

 
@diamondplatnumz yupo nominated kwa tuzo hizi zingine za nchini Nigeria
#The_Headies kama #BestAfricanArtiste
Kumpigia kura we bonyeza

http://hiphopworldmagazine.com/theheadies/vote2014/ then weka screen rotate ktk cm yako km unaangalia video. Then shuka kwa chn huk unasoma categories had utakuta BEST AFRICAN ARTISTE. Utaclick kwa jina la diamond then click vote af subir ifunguke, hapo watakuletea sehem ya kujaza username na password usijaze wewe click walipoandka REGISTER. Hapo ikifunguka ztakuja space mbl moja ni ya USERNAME ambapo utaandka jna lako na ya pil ni EMAIL hapa utajaza email yako then click REGISTER NW. Utaenda kwa email yako watakuwa wamektmia password. Utalogin xaxa kwa USERNAME ambayo uliandka mwanzon (Jina lako) na PASSWORD waliyokutmia ktk email. Hapo you will be safe kuvote. Make sure wanakuandikia THANK YOU FOR YOUR VOTE.( http://hiphopworldmagazine.com/theheadies/vote2014/ to vote diamond on #The_Headies awards
#BestAfricanArtiste ..)

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE