
Mwanamuziki wa kimataifa asiye na mbwembwe toka nchini Tanzania Ambwene Yesaya AY, hapa ameachia video yake mpya aliyofanya na wanamuziki wenzie wa kimataifa toka Marekani Sean Kingston na toka nchini Jamaica Ms Triniti, hapa anakupa fursa ya kuitazama video yake mpya aliyoifanya nchuni Marekani ya Touch me
0 MAONI YAKO:
Post a Comment