Mkali wa mwenye tuzo moja ya Hip Hop Tanzania Nay wa Mitego, amemtaka Waziri mkuu mstaafu Edward Lowasa kugombea urais na kuahidi kumpigia Kampeni. huu ni wimbo mpya wa ney utakujia hivi karibuni Huku akimpa ujumbe Rizi One uende kwa mzee
MASHAIRI YAKE:
Naongea na Riz one hey Riz
One, we si mtoto wa raisi Riz one. Mwambie dingi yako Masela hawamuelewi
wamakonde wa Mtwara hawataki tena Korosho, wanaitaka ges si mtawaua na
mkong'oto?! Nani rafiki wa Lowasa anifikishie salam 2015 nataka agombee
uraisi nitamfanyia kampeni wananchi wampe nafasi,
# Salam zao#
my new track coming soon.!!
0 MAONI YAKO:
Post a Comment