Kama utakumbuka mwaka 2008 kuna nyimbo nyingi sana zilifanya vizuri , radio, club na kwenye vituo vya Luninga. Leo nimewakumbusha hili collabo la Dully, MR: Blue na Joselin. wimbo unaitwa Dhahabu mtayarishaji MJ katika studio za MJ Production. nikumbushe yako iliyotamba enzi zile.
facebook.com/ twitter.com/Ahmadi Machaku
0 MAONI YAKO:
Post a Comment