Mgombea Ubunge CHADEMA) arejea rasmi CCM
Mgombea ubunge wa Sikonge kupitia CHADEMA amerejea CCM leo ktk viwanja vya Jangwani DSM.
Kumbuka Nkumba alijiunga na CHADEMA baada ya kushindwa kwenye kura za
maoni CCM. Alipewa kuipeperusha bendera ya CHADEMA kwe…Read More
Magazetini leo 23/august/2015
Jumapili August 23 2015 nachukua time hii kukuunganisha tena na stori kwenye Magazeti ya Tanzania, stori kubwa kwenye Hardnews, Dini na Michezo unaweza kuzipitia hapa kwenye kurasa za mbele na za nyuma kama tulivyotoa …Read More
Diamond, Ali Kiba ndani ya jukwaa moja
Wasanii
Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Ali Saleh Kiba ‘Aki Kiba’ kesho Jumapili
wanatarajiwa kutumbuiza katika uzinduzi wa kampeni za mgombea urais wa
Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli.
Diamond
na Ali Ki…Read More
Audio: Sumaye akijitoa CCM na kujiunga na UKAWA
August 22 Itabaki katika Historia ya Tanzania kufuatia waziri mkuu mstaafu wa Awamu ya tatu
Frederick Turuwai Sumaye kujiengua katika chama tawala cha Tanzania CCM na kujiunga na Umoja Wa Katiba …Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment