Joh Maker
Fiesta Super Nyota ilianza mwaka 2012, Mshindi aliibuka Young Killer toka Mwanza, lakini nafasi ya pili ilikamatwa na Joh Maker toka mkoani Morogoro. Unazifahamu kazi zake? Mbona hsikiki kama mshndi namba moja Young Killer na mshindi namba Tatu Neylee? Alibahatisha au? Ngoma yake inakuja inatwa nakunyoa kipara imefanyika kwanza Records chni ya mtayarishaji mkali mkoani Morogoro, VENT Skills.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment