August 03, 2013




LOTTA
  Flavian Komba aka ROTA Toka kundi la  Raccers la  mjini  Morogoro, ambaye ndiye Mkali wa Mistari huru wa Mikoa ya Dar na Pembezoni amedhihirisha yeye ni lulu katika fani baada ya kuachia pini lake jipya kabisa akijitambulisha mbele ya mashabiki wa Muziki Tanzania kwa Kutoka na single hiyo inayokwenda kwa jina la wajue, akimshirikisha yule Mkali wa Bongo fleva nchini Richie Mavoko ambaye amesimama katika Chorus, Nyimbo hiyo ambayo imetengenezwa na Mkali Dunga wa Madugu Digital imekuwa ni Gumzo katika vituo vingi vya Redio hapa Tanzania

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE