August 19, 2013

 
Mwanamuziki wa Hip Hop Bongo,Elibarik Emanuel‘Nay Wa Mitego’amefunguka kwa mara ya kwanza kuwa ngoma yake ya Muziki Gani aliyomshirikisha Nasib Abdul‘Diamond Platinumz’ imemuingizia mkwanja wa shilingi milioni 20.

Akipiga stori na Teentz alisema kuwa pesa hizo zimepatikana kutokana na kufanya shoo mbalimbali na kuongeza kuwa anaamini pesa hizo zitaongezeka zaidi ya hizo.
 
‘Namshukuru Mungu kwani Muziki Gani umenipa mkwanja wa kutosha na naamini zitaongezeka zaidi’alisema Nay.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE