ehema
Chalamila the award winning singer ambaye aliathirika na matumizi ya
dawa za kulevya na baadae kupona. Ameendelea kuwa kioo cha jamii kwa
ku-share experience yake baada ya kupona kwenye ishu ya dawa za kulevya.
Ray
C ametoa ujumbe mpya ambao ni muhimu kila mtu kuujua kwasababu kwenye
mazingira yetu kuna waathirika wengi wa dawa za kulevya.
Haya ndiyo maneno ya Ray C mwenyewe ambayo yana ujumbe mzuri ndani
yake, “Wote hawa tuliokaa hapa(picha hapo chini) tuliathirika na dawa za
kulevya na tumepona kwa kunywa dawa moja tu inayoitwa Methadone.
Inapatikana Muhimbili na Mwananyamala pekee na ni bure kabisa.
Tunamshukuru sana Mh Jakaya Mrisho Kikwete kwa kutuletea dawa
hii.Ningependa kuwashauri walioathirika wa dawa za kulevya iwe
wewe,ndugu yako,rafiki,kaka,dada,mjomba,jirani au yoyote aliye karibu na
wewe.Usiogope amua tu kwamba unataka kupona na nenda kanywe hii dawa
utapona kabisa.”
0 MAONI YAKO:
Post a Comment