August 14, 2013


Rapper Soulja Boy was kicked off an American Airlines flight after refusing to sit down when asked by flight attendants, according to TMZ.
           Leo asubuhi Rapper Joulja Boy alitimuliwa kutoka ndani ya ndege na kushushwa chini na Air Marshal baada ya kutokutii kauli ya wahudumu wa ndege iliyowataka watu wote kukaa chini nakufunga mikanda ili ndege ianze safari.
         
Rapper huyo aliendelea kusimama bila kutii wakati ndege inataka kuanza safari na muhudumu (hostess) alimfata nakumuomba kwa upole akae chini nakufunga mkanda lakini yeye hakutii ndipo walipoitwa Aior Marshal kufanya kazi yao nakumtoa nje kama mwizi bila kujali yeye ni nani.Marekani usipoti sheria haijalishi wewe Rapper au Mfalme.
                                      SOULJA BOY AKITOLEWA NJE BILA UJANJA
       Ila baadae kwenye Twitter yake Soulja Boy aliomba msamaha kwa yaliyotokea lakini waingereza wanasema the Damage has been done.....too little too late.
Habari hii na TMZ !
   
toka swahilitv.blogspot.com/   U S A

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE