August 14, 2013

 
Afande  Sele
   Mfalme wa  Rhymes Tanzania na mwanamuziki wa Hip Hop nguli, Afande  Sele, amesema hamfahmau msanii Roho  Saba, zaidi ya kujua  kazi zake, lakini amesema kwamba  hakuna msanii anayemkubali  wa  Hip Hop Tanzania kama huyu jamaa.
  Afande  Sele, ameandika hayo leo katika Page yake ya Facebook na kuthibitisha juu ya hilo.
  
Roho Saba,kiukweli simjui kwa sura huyu msanii wa HipHop ya Bongo zaid ya kujua kaz zake baadh kama Nakupenda HipHop na Waite polisi,ni kaz za kitambo lkn zimenifanya niseme ukweli huu kwamba ni msanii ninaemkubali kuliko wasanii wote wa HipHop hapa Bongo nikiwemo mimi japo'najikubali'lkn huyu m2 Roho Saba ni Roho7 haswaaa,ipo siku tz/afrika na dunia itakiri hilo,Anaweza saaaaana!nawe wamjua?ushamckiliza???
Like · · · 3 hours ago via mobile ·
 

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE