- John Dillinga MatlouFuraha ya burudani ya miaka ilee sasa imerejea. Melegendari sasa wamekiri kuwa walichokikosa kwa muda mrefu, sasa kinapatikana isumba lounge -jollies club Dar es salaam, kila ijumaa na j'mosi. Ni katika night of the legends na DJ John Dillinga aka The Legend is Back, DJ Fast Eddy na DJ Young Kelvin. Njoo ujumuike na malegendari wenzako ukumbukie wakati muziki ukiitwa muziki. Milango iko wazi saa 3 usiku, kiingilio 10,000/-. Karibu sana. 4 more info or comments like facebook page @www.facebook.com/pages/DJ-JD or follow instagram @DJJDTHELEGEND
WAZIRI JAFO : SERIKALI ITAENDELEA KULINDA BIASHARA ZA WAZAWA
-
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo,akziungumza leo Juni 6,
2025 jijini Dar es Salaam wakati akipokea Taarifa ya Timu maalum ya Ukaguzi
wa ...
2 hours ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment