Swahili TV ilifanya mahojiano exclusive na Ammy Nando katika Jiji la Los Angeles, USA. Ammy ambaye kwa sasa anajulikana kama Army Nando, Mtanzania mwenye makazi yake katika jimbo la California, aliyeshiriki Big Brother Africa season 8 "The Chase" na hatimaye kutolewa . Katika video hii Nando amefunguka kuhusu kilichomfanya atolewe mjengoni, maisha ya mle ndani na pia ameweka bayana mipango yake ya baadaye, nini kinachofuata baada ya BBA.
August 15, 2013
12:22 PM
Machaku
No comments

Related Posts:
Oficial Video:Ozuna - La Modelo Ft Cardi B Kutokea Nchini Jamaica anaitwa Ozuna akimshirikisha Card B wimbo wanakwambia unaitwa La modelo &… Read More
Diva awakutanisha Mwana FA, Heri Muziki na Mr. Paul Diva Wasanii maarufu wa muziki wa Bongo Fleva, Mwana FA, Mr Paul na Heri Muziki ni moja ya wasanii wakongwe watakaosikika kwenye Album mpya ya ‘Ala za Roho’ ya Mtangazaji maarufu wa Radio Clouds FM, Diva The Baws… Read More
Airtel ni mali ya TTCL kwa 100% – Rais Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt… Read More
Official Video:Rayvanny ft Maphorisa x Dj Buckz - Makulusa Kutoka WCB Wasafi, mwanamuziki Rayvanny Boy, ametuletea wimbo wake mpya kabisa unaitwa Makulusa. Katika wimbo huu Rayvanny amewashirikisha wanamuziki Maphorisa na DJ bucz. Enyoy tme hii kuutazama video yake ya viwango… Read More
Nipo tayari kufa lazima tutaapishwa kama Rais Kenya – Raila Odinga Kiongozi wa upinzani nchini Kenya kupitia NASA, Raila Omolo Odinga, amesema yupo tayari kufa ikiwa ndiyo gharama atakayolipa baada ya kuapishwa kama rais wa wananchi, lakini lazima haki itendeke. Raila Odinga ametoa kaul… Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 MAONI YAKO:
Post a Comment