October 17, 2013

 
AFANDE  SELE NA MWANAE TUNDA JEMA 
  Mfalme  wa Rhymes Tanzania Afande  Sele, ametoa Wasia kwa mtoto wake mpendwa  Tundajema bnt Mfalme , katika wake wa Facebook afande ameeleza mengi kuhusiana na maisha ya mwanae juu ya elimu yake na taifa kwa jumla
  
2 hours ago

Wkt bint yangu Tunda alipofaulu kuingia kunduch girls muslim high school pale dsm,siku tuliyompeleka kuripot shuleni kwa kuwa anakaa bweni(bording),nakumbuka nilimuasa'ewe tunda bint mfalme,bint yangu leo unaingia sekondari ukiwa na miaka kumi na moja tu,hujafika la saba umeishia darasa la sita lkn umefaulu kwenda sekondari ktk shule bora itakayo kupa elimu ya dunia na elimu ya dini yako ya unyenyekevu(muslim),sasa usia wangu mimi baba yako ni kwamba nchi yetu tz,bara letu afrika hatuhutaji''wasanii''wapya tunahitaji wanasayansi,biashara,uchumi nk wapya,hivyo soma masomo hayo kwa bidii ili wewe na taifa lako wafaid elimu yako mwanangu',Tunda akasema poa na kweli anafanya kweli,Mungu ibarik tz,mbariki TundaJema(TJ)bint mfalme sele wa pili!,

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE