October 17, 2013

 
 Davido
Clouds Media leo hii wamethibitisha kuwaleta wasanii zaidi ya watatu kutoka nje ya Tanzania (International artist), na leo hii wamethibitisha kudondoka kwa msanii kutoka
Nigeria Davido anaefanya poa sana Africa na single kadhaa kali, ikiwemo Gobe

Lakini kutoka Tanzania Wasanii zaidi ya 40  watapanda jukwaa hilo la Fiesta na leo hii imetoka list ya wachache tu wakiambatana na Davido ambao ni Afande Sele, Makomando, Mr Blue, Young Killer,  Young D, G Nako, Joe Makini, Nikki wa pili, Kala Jeremiah na Chidi Benz, list itaendelea siku ya kesho ambapo utamsikia msanii mwingine wa nje atakae tua bongo pamoja na muendelezo wa list ya wasanii wa hapa hapa.
Fiesta itarajiwa kufanyika siku ya jumamosi ya tarehe 26 ndani ya viwanja vya leaders

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE