Hii Itawashangaza wengi lakini mie
nimeipenda sana , Baada ya Ney wa Mitego Kuiponda Bongo Star Search na
Kuuliza kama kweli washindi wanapewa zawadi huku akiwaponda kuwa
wamechoka...Madam Rita Ameibuka na Kumpa Ujaji Ney katika shindano hilo
...Ataaza kuonekana Wiki Ijayo ,,Big up najua hii Itawavuta watu wengu
kutazama show hiyo....
Kilele cha tuzo za AFRIMMA 2015, Tanzania yanga'ara
Good news kwa Tanzania… Yes, hii ni kwenye burudani kwa mara nyingine tena, Bongo Fleva ni muziki ambao umefika mbali kutokana na juhudi za watu wengi walioamua kuweka ngumu nyingi kuhakikisha huu muziki unafika kwenye…Read More
lowassa aiteka Tarime
Vijana wa Mjini Tarime wakiongoza mapokezi ya Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, alipowasili mjini Tarime kwa Mkutano wa Kampeni, leo Oktoba 10, 2015.…Read More
Leo katika magazeti yetu ya TanzaniaKutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumapili Octoba 11, 2015 tumeingia katika chumba cha habari cha TZA kinachomilikiwa na Millard Ayo na tayari tumeyakusanya Magazeti yote ya leo hii na stori zake kubwakubwa …Read More
Makamba amlipua Kingunge
Katika mkutano mkuu wa uzinduzi wa kampeni za mgombea ubunge wa Tabora mjini ndg Emmanuel Mwakasaka, Katibu mkuu mstaafu wa CCM Taifa mzee Yusufu Makambakama mgeni rasmi azungumzia mengi ikiwa kumnadi Mgombea Urais, mgombea …Read More
New Audio| Vanessa Mdee - Nevar Ever| Download hapa
Hatimaye wimbo mpya wa Vanessa Mdee NEVER EVER upo hewani kwa ajili ya kushushwa! Vanessa ambaye ni mshindi wa tuzo ya AFRIMMA Best Female Artist ameachia Video ya wimbo huu
Intro:
La La La
La La La
(Nahreel …Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment