
Wasanii wa kundi la Wanaume TMK likiongozwa Chege na Themba wakiwaimbishabiki wao jukwaani

Pichani ni Mwana FA na swahiba wake AY wakilishambulia jukwa kwa pamoja


Mwanamuziki
kutoka nchini Nigeri,Jay Martins akiwaimbisha mashabiki wake kwenye
tamasha la Serenget fiiesta 2013 ndani ya uwanja wa Mkwakwani mkoani
Tanga ,ambapo maelfu ya wakazi w amji huo walijitokeza kwa
wingi uwanjani hapo kushuhudia yaliyiokuwa yakijiri kwenye jukwaa la
tamasha hilo.

Maunda Zorro akiimba jukwaani ndaniya tamasha la serengeti fiesta usik wa kuamkia leo ndani ya uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga.

Christina Bella akiwaimbisha mashabiki wake.


Mashabiki wakifuatilia yanayojiri jukwaani usiku huu.

Msanii wa hip hop anaekuja juu katika anga ya muziki huo,Stamina akiimba jukwaani


Pamoja na manyunyu ya mvua kusumbua sumbua hapa uwanjani,lakini mashabiki wala hawakutaka kubanduka uwanjani, Kweli ni noma sana.

Msanii Neylee akiimba kwa hisia jukwaani.


Watu kibao Noma sana.

Pichani kati ni msanii Ally Nipishe akiwa na madansa wake jukwaani

mashabiki kutoka kila kona walikuwepo.

Mashabiki wakishangwekwa vilivyo

Godzilla akikamua mbele ya mashabiki wake.

Linah akicheza na shabiki wake jukwaani-


Shilole na madansa wake wakilishambulia jukwaa kwa pamoja huku miluzi na mayowe ikiwa imetawala kila kona ya uwanja.

Gea Habib na mdau wake wakilifuatilia jukwaa la fiesta vilivyo yaliyokuwa
0 MAONI YAKO:
Post a Comment