October 21, 2013

PICHA: Rihanna Ndani ya Hijabu Akiwa Abu Dhabi


Unapokuwa Rome, inakubidi uishi na kuwa kama Waroma.

Bad Gal Riri kwa sasa yupo ndani ya Abu Dhabi, United Arab Emirate na hapa kupitia ukurasa wake wa Instagram amewashirikisha watu kwa picha zake alizopiga akiwa Msikitini.




Related Posts:

  • New Audio/ Brai - Deka   Mwana muziki wa kizazi kipya na chipukizi toka mkoani Morogoro Abrah Yanguga maarufu kwa jina la Brai, ameachia wimbo wake mpya kabisa unaoitwa Deka. Wimbo huo uliofanyika katika studio za Pure Record chini ya mtay… Read More
  • Wanjera yashika namba moja Nigeria   Wasanii watanzania waendelea kupeperusha vizuri bendera ya Tanzania kupitia Muziki, Huku akiwa amechaliwa katika Tuzo za AFRIMMA , Ommy Dimpoz anaendelea kufanya vizuri kimatifa Baada ya nyimbo yake ya Wanjera ku… Read More
  • Rais Kikwete atunukiwa Tuzo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. Jitihada za muongo mzima wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kuimarisha na … Read More
  • Mamlaka ya Bandari Tanzania yasaidia wana habari  Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (PTA), Awadh Massawe akizungumza na wanahabari wakati akikabidhi hundi ya sh.milioni mbili kwa Taasisi ya Habari Development Association Dar es … Read More
  • Meneja wa Wema aandika haya baada ya Wema kushindwa katika uchaguzi Baada ya Wema Sepetu kushindwa katika uchaguzi wa viti maalumu mkoani Singida Meneja wake ameandika haya kwenye ukurasa wake wa Twitter… “Haikuwa vile tulivyotarajia… Hongera Aysharose Mattembe”. &nbs… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE