Bilionea reginald mengi ameandika
twitter jana kuwa kama tunalitakia amani hili taifa basi ni lazima watu
flani wapelekwe milembe kwa nguvu na sio kwa hiari yao. Je,unadhani mengi anataka watu gani wapelekwe milembe na kwa sababu
Wachunguzi waanza kuchunguza chanzo cha motoMaafisa wanasema moto ulianza ghorofa ya 20 upande wa nje na haukusambaa ndani ya hoteli
Wachunguzi mjini Dubai wanajaribu kubaini chanzo cha moto uliozuka katika hoteli ya kifahari mkesha wa Mwaka Mpya na kujeruhi watu kadha…Read More
CUF kususia maadhimisho ya mapinduzi
Chama cha Wananchi kimesema hakitashiriki maadhimisho ya Sherehe za Mapinduzi visiwani Zanzibar kutokana na utata kuhusu matokeo ya uchaguzi.
Chama hicho kupitia taarifa kimesema maadhimisho hayo yatafanyika “Serikali ik…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment