Chidi Benzi aikwepa miaka miwili jela
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imemwachia huru mwanamuziki Rashid
Makwilo 'Chid Benz' baada ya kulipa faini ya shilingi laki tisa sh:900,000/=.
Awali Chidi Benzi alihukumiwa kifungo cha miaka miwili jela…Read More
Waethiopia 13 wakamatwa wakisafirishwa Morogoro
Jeshi la polisi mkoa wa Morogoro limewakamata wahamiaji haramu 13
kutoka nchini Ethiopia wakiwa kwenye gari ndogo aina Prado katika
kijiji cha Lusanga Turiani wilayani Mvo…Read More
Mchinjaji wa IS 'Jihadi John' atambuliwa
Bwana huyo ambaye
taswira yake akiwachinja mateka kwa kisu bila huruma ndiyo nembo ya
wapiganaji hao sasa ametambuliwa kuwa anatokea Uingereza.
Shirika la Habari la BBC limetambua kuwa jina lake kamili ni Moham…Read More
Waliomuiba Albino Pendo Wakamatwa Mwanza
Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo, amesema watu wote waliohusika
‘kuiba’ mtoto mwenye ulemavu wa ngozi (albino) Pendo Emmanuel (4) katika
kijiji cha Ndami wilayani Kwimba, Mwanza, wamekamatwa.
…Read More
Tp Mazembe yasajili watatu
Kikosi cha TP Mazembe cha Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Timu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya
kidemokrasia ya Kongo imewasajili wachezaji watatu wapya toka kwenye
timu ya taifa ya Ivory Coast.
Nyota …Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment