November 28, 2013

STAMINA 
  Mkali wa Hip Hop toka mkoani Morogoro Stamina Kabwela, amezungumza na blog hii leo asubuhi kwamba , hajaachia wimbo mpya.  Stamina amesema wimbo huwo uliosambaa jana katika mitandao unaoitwa Mngekuwepo aliomshirikisha Criss wamarya umetolewa kimakosa na mtu asiyefahamika. Juhudi za kumpta uyo mtu zinaendele

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE