Mkali wa Bongo Fleva,Benard Paul amefunguka kuwa bila redio ya watu,Clouds Fm asingepata mafanikio ambayo anajivunia leo.
Akizungumza na mtandao wa Clouds fm alisema kuwa redio ya watu imekuwa ikimsaidia kama kupata shoo kubwa kama fiesta,kupiga ngoma zake bila kuzibania na imemfanya ajulikane nchi nzima.
‘’Naishukuru sana clouds fm kwa kunipa mafanikio makubwa na naitakia mafanikio mema katika mwezi huu wa burudani na birthday ya redio ya watu,alisema Ben Pol.





0 MAONI YAKO:
Post a Comment