December 04, 2013

Ney wa mitego amefunguka leo kupitia kipindi cha Amplifaya cha clouds fm kuwa amefanikiwa kuingiza kiasi cha mamilioni ya shilingi katika show za fiesta zinazoongozwa clouds, Ney wa mitego amesema hayo  wakati huu wa kutimiza miaka 14 ya clouds fm alipokuwa akihojiwa. Ney "alisema Nimefanikiwa kuingiza zaidi ya milioni 24 za kitanzania katika msimu wa fiesta wa mwaka huu"

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE