Kila
tarehe 02 December Clouds Fm inasherehekea siku ya kuzaliwa kwake
ambapo sasa imetimiza miaka 14 ya utoaji burudani kwenye spika zako,
salute kwa kila mtu wa nguvu anaeipa nafasi Clouds Fm ambayo kwa miaka
kadhaa imetangazwa kuwa ni Super Brand.
Clouds
Fm kupitia kipindi cha Power Breakfast imewatembelea na kuwapa misaada
akina mama waliojifungua usiku wa kuamkia Dece 2 katika hospitali ya
Mwanayamala,Jijini Dar.
BLOG HII inaitakia Happy Birthday Clouds Fm.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment