
Msanii wa Bongo Movie Irene Uwoya amekula za pua (Kukosolewa) kwa baadhi ya mashabiki wake kwenye Instagram baada ya kupost picha ya moja kati ya mastaa wa movie hiyo ‘Vin Diesel’ na kuandika “Bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe”
.

0 MAONI YAKO:
Post a Comment