December 31, 2013

Mwaka 2013 umekuwa wa mafanikio makubwa kwa Rehema Chalamila aka Ray C. Kubwa anamloshukuru Mungu ni kuokolewa kutoka kwenye maangamizi yaliyosababishwa na kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya, thanks kwa Rais Jakaya Kikwete aliyeamua kugharamikia matibabu yake.
Baada ya matibabu hayo, muimbaji huyo wa ‘Niwe Nawe Milele’ amerejea kwenye afya yake ya kawaida na sasa yupo busy kurekodi nyimbo mpya na huenda mapema mwaka 2014 akarejea kwa kishindo. Pamoja na kupewa gari nzuri ya kutembelea, Ray C ameionyesha nyumba yaka anayoijenga na iliyokamilika kwa asilimia kubwa huku ikifanyiwa upambaji wa ndani tu.
Ray C ameionesha nyumba yake kwenye Instagram kwa kuandika: Love the color of ma new house!!!! Under construction #godisgood#workhardplayhard."

Related Posts:

  • Kenyatta atangaza siku tatu za maombolezo Kenya Rais Uhuru Kenyatta Wa Kenya ametangaza siku 3 za maombolezo na bendera kupepea nusu mlingoti kufuatia shambulio la kigaidi dhidi ya Chuo Kikuu cha Garissa lililoua karibu watu 150. Akilihutubia taifa kutoka Ikulu ya Nairobi… Read More
  • Al-Shabab watishia kuishambulia tena Kenya Kundi la wanamgambo wa al-Shabab wa Somalia limetishia kuishambulia tena Kenya na kusisitiza kwamba, Wakenya watakabaliwa na vita vya muda mrefu na vya kutisha. Taarifa ya wanamgambo wa al-Shabab imebainisha kwamba, muda sio… Read More
  • Suma Lee aacha muziki Msanii aliyefanya vizuri na single ya ‘Hakunaga’, Suma Lee amesema hatofanya tena muziki kwa sababu ameachana kabisa na maisha hayo. Suma ambaye alitengeneza pesa nyingi kupitia hit yake ya ‘Hakunaga’… Read More
  • Magazeti ya leo April 5/2015 haya hapaIkiwa Leo April 5 2015, wakristu ulimwenguni kote, wanasherehekea kufufuka kwa Yesu Kristu tukimaanisha siku kuu ya Pasaka. Hapa tunakupa fursa ya kupitia vichwa vya habari vya magazeti ya leo. Ubalozini.blogspo… Read More
  • ACT: Tunajipanga kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Agosti Dar es Salaam.Chama cha ACT- Tanzania, kimesema hakina muda wa kufanya siasa za chuki na malumbamo dhidi ya vyama vingine vya siasa, badala yake kinajipanga vizuri na kuandaa mazingira ya kushiriki katika uchaguzi mkuu ujao… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE