December 17, 2013

       
 AY aitangaza ndoto yake ya kuwa rubani wa ndege

         AY ameamua kuiweka wazi ndoto yake ya kuja kuwa rubani wa ndege siku za usoni. Rapper huyo wa ‘Money’ ameshare na mashabiki kwenye Instagram picha inayomuonesha akiwa kwenye chumba cha rubani pamoja na rubani wa ndege hiyo.

AY ameandika kwenye picha hiyo: Pilots take no special joy in walking. Pilots like flying. #Future.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE