January 02, 2014

Mtangazaji wa Njia panda Dr Isack Maro akikabidhi vifaa kwa Dr. Muzdalifat

Watangazaji wa Clouds wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wagonjwa

Millard Ayo akiwa amempakata mtoto hospitalini hapo
 
Mwanzilishi wa kituo cha Keko Youth Yohana Haule akimkabidhi
zawadi ya kuku mkuu wa vipindi Clouds fm Sebastian Maganga

Mtangazaji wa PB Poul Jame pj akikabidhi msaada wa pedi
 
Miaka 14 ya Clouds FM yaadhimishwa kwa shwangwe kubwa Shughuli za kijamii na burudani zatawala  Kituo cha Redio namba moja hapa nchini, Clouds FM kimefikia kilele cha mwezi wa maadhimisho ya miaka 14 toka kimeanzishwa. Maadhimisho hayo ambayo yamefanyika kwa mwezi mzima sasa, yalianza na watangazaji  wa vipindi tofauti kwenda mikoa mbalimbali ili kuweza kusherekea miaka  hii 14 pamoja na wasikilizaji wao sehemu walipo.  Ikiwa ndio siku ya kilele cha maadhimisho hayo, Clouds FM imetembelea hospitali ya Temeke na kituo cha kuhudumia vijana wanaotumia madawa ya  kulevya cha Keko Youth, ambapo misaada mbalimbali imetolewa. Wakiwa katika hospital ya Temeke, Clouds FM imetoa vifaa mbalimbali vya  hospitali katika wodi ya wanawake na watoto, huku Keko Youth wakipewa  vitendea kazi ambavyo vitawezesha vijana kujiajiri baada ya kumaliza  matibabu

Habari zaidi www.audifacejackson.com
Miaka 14 ya Clouds FM yaadhimishwa kwa shwangwe kubwa Shughuli za kijamii na burudani zatawala

Kituo cha Redio namba moja hapa nchini, Clouds FM kimefikia kilele cha mwezi wa maadhimisho ya miaka 14 toka kimeanzishwa. Maadhimisho hayo ambayo yamefanyika kwa mwezi mzima sasa, yalianza na watangazaji  wa vipindi tofauti kwenda mikoa mbalimbali ili kuweza kusherekea miaka  hii 14 pamoja na wasikilizaji wao sehemu walipo.

Ikiwa ndio siku ya kilele cha maadhimisho hayo, Clouds FM imetembelea
hospitali ya Temeke na kituo cha kuhudumia vijana wanaotumia madawa ya  kulevya cha Keko Youth, ambapo misaada mbalimbali imetolewa. 
Wakiwa katika hospital ya Temeke, Clouds FM imetoa vifaa mbalimbali vya  hospitali katika wodi ya wanawake na watoto, huku Keko Youth wakipewa  vitendea kazi ambavyo vitawezesha vijana kujiajiri baada ya kumaliza  matibabu.

Akizungumzia maadhimisho hayo ya Clouds FM, Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media  Group, Joseph Kusaga alisema sherehe hizi kwa mwaka huu ni za kipekee  kwa Clouds FM hasa kwa kuwa wameweza kufanikisha  mambo mengi makubwa  toka walipoanza. ‘Maadhimisho  haya ya miaka 14 kwa mwaka huu yana lengo moja kubwa, kuwashukuru  wasikilizaji wetu kwa kutufikisha hapa tulipo, na ndio maana tumeanza  kwa kuwapa misaada wanaohitaji, halafu tunamalizia kwa burudani’’  alisema Kusaga.

Akielezea zaidi mafanikio ya Clouds FM kwa kipindi cha miaka 14, Kusaga alisema  redio imefanikiwa kuwafikia watu wengi zaidi, imeongeza ubunifu lakini  pia kumekuwa na uboreshaji wa hali ya juu wa mitambo ya kutangazia  pamoja na maudhui.

‘Kwa kipindi cha miaka mitatu mfululizo tumefanikiwa kushinda tuzo ya Super  Brand, na kwa mwaka huu pekee radio imefanikiwa kuanza kusikika mikoa ya Njombe, Songea, Njombe, Sumbawanga, Katavi na Geita, kupitia mitandao  kwa wasikilizaji wetu nje ya nchi lakini pia tumefanikiwa kufanya
tamasha la Fiesta kwa mafanikio zaidi’ alisema Kusaga.

Kusaga pia aligusia mchango wa Clouds FM katika kuhamasisha maendeleo na  uzalendo hapa nchini akitoa mfano wa semina za Fursa ambazo zilifanikiwa kwenda nchi nzima zikizungumza na vijana kuamka na kuchangamkia fursa  katika sehemu wanazoishi. ‘Semina za Fursa zimekuwa mfano mkubwa namna Clouds FM ilivoweza kutumia nguvu  yake kama radio inayosikilizwa zaidi katika kuchagiza maendeleo, na kwa  hakika mafanikio ya semina yamekuwa ni makubwa sana’ alisisitiza Kusaga.
  
Kusaga pia alitoa shukrani za pekee kwa watanzania kwa kuinga mkono Clouds FM  sio kwa kusikiliza tu bali hata katika kuhudhuria matamasha na shughuli  nyingize za Clouds. Kilele cha  maadhimisho ya miaka 14 ya Clouds FM kitamalizika kwa burudani kubwa  ambayo itafanyika katika viwanja vya Mwembeyanga ambayo itajumuisha  wasanii na watu wengine maarufu.
‘Kumekuwa na mafanikio makubwa katika redio yetu kwa kipindi cha miaka 14, na  naomba niseme, bila ninyi wasikilizaji wetu tusingeweza kufika hapa’  alimaliza Kusaga
- See more at: http://www.audifacejackson.com/2014/01/clouds-fm-yaadhimisha-miaka-yake.html#sthash.Id8xrXbo.dpuf

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE