LOWASSA ATANGAZA NIA KIMTINDO
Waziri
Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ametangaza kuanza rasmi kwa safari
aliyoiita ya matumaini ya ndoto zake, ambayo amesema itatimiza ndoto za
Watanzania za kupata elimu bure, maji safi na maendeleo ya uhakika.
Akizungumza
katika ibada ya shukrani na kuupokea mwaka mpya, katika Kanisa la
Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Usharika ya Monduli Mjini, Lowassa
bila ya kutaja safari hiyo ni ipi, aliwashukuru watu wote kutoka maeneo
mbalimbali nchini, ambao walimsindikiza katika ibada hiyo.
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ametangaza kuanza rasmi kwa safari aliyoiita ya matumaini ya ndoto zake, ambayo amesema itatimiza ndoto za Watanzania za kupata elimu bure, maji safi na maendeleo ya uhakika. Akizungumza katika ibada ya shukrani na kuupokea mwaka mpya, katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Usharika ya Monduli Mjini, Lowassa bila ya kutaja safari hiyo ni ipi, aliwashukuru watu wote kutoka maeneo mbalimbali nchini, ambao walimsindikiza katika ibada hiyo
LOWASSA ATANGAZA NIA KIMTINDO
Waziri
Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ametangaza kuanza rasmi kwa safari
aliyoiita ya matumaini ya ndoto zake, ambayo amesema itatimiza ndoto za
Watanzania za kupata elimu bure, maji safi na maendeleo ya uhakika.
Akizungumza
katika ibada ya shukrani na kuupokea mwaka mpya, katika Kanisa la
Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Usharika ya Monduli Mjini, Lowassa
bila ya kutaja safari hiyo ni ipi, aliwashukuru watu wote kutoka maeneo
mbalimbali nchini, ambao walimsindikiza katika ibada hiyo.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment