Kituo cha Radio cha Planet cha mjini hapa, kimeanzisha mfuko maalum wa rambirambi za kuwachangia watanzania waliopatwa na maafa Wilayani Kilosa mkoani hapa.
Kwa maelezo zaidi fika MT. Uluguru Hotel mjini Morogoro jilani na kituo kikuu cha daladala.
Au kwa mawasiliano piga namba +255 712 846 665 kupata maelekezo zaidi
0 MAONI YAKO:
Post a Comment