
Mmiliki halali wa Yanga aibuka na kuidai klabu yake kutoka kwa viongozi
wa sasa! Asema yeye na Tabu Mangala ndio walioisajili klabu serikalini
mwaka 1967. Aongeza tokea Tabu Mangala ajitenge
na kuanzisha Pan Afrika
1975, yeye akabaki na hati zote za klabu na amekuwa akizilipia. Nini
maoni yako?
0 MAONI YAKO:
Post a Comment