February 27, 2014

 

 Vioja vya mjini jamaa kamfumania mshikaji kwa wife wake ,kwa hasira alizokuwa nazo kaamua kuchojoa nguo zoto na kupandisha kwanye gari ile ya kubebea majani akiwa kasimama nyuma huku akiwa na bango kuwa yeye ni mwizi wa mke wa mtu, 
huku nonino ikiwa inaangalia watu, yani ni fulu vioja mjini Dar es salam maeneo ya samora Mchana wa leo

Related Posts:

  • Old song: Bob Marley -No Woman no cry   Kutokana na maombi ya wadau wetu ya mara kwa mara, sasa tutaanza kuwaletea nyimbo mbalimbali za zamani, hii ni kutokana na maombi ya wadau pamoja na chaguo letu. Leo tumeanza na wimbo wa Bob Marley unaitwa No woman… Read More
  • Mechi ya Man U na Arsenal yaua 24 kwa shambulio   Watu 24 wameuawa mjini Baidoa Kusini mwa Somalia wakitizama mechi baina ya Manchester United na Arsenal baada ya shambulizi lililotekelezwa na Al Shabab. Taarifa za awali zinaeleza kuwa milipuko miwili miku… Read More
  • Filamu yapigwa marufuku India    Mji wa kaskazini mwa India, Aligarh, umepiga marufuku filamu mpya ya wapenzi wa jinsia moja Mji wa kaskazini mwa India, Aligarh, umepiga marufuku filamu … Read More
  • Uchaguzi Marekani, Hillary Clinton aibuka mshindi South Carolina   Hillary Clinton ameshinda kwa wingi wa kura uchaguzi wa mchujo wa urais katika jimbo la South Carolina dhidi ya mpinzani wake mkuu katika chama chao cha Democratic Bernie Sander. Bi Clinton alipata kura asili… Read More
  • CCM yataka Maalim Seif akamatwe Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dkt. Mohamed Ali Shein, akizungumza na Wajumbe wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar Wakati zikiwa zimebaki siku 21 kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa marudio visiwani Zanziba… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE