Mwanamuziki anayeongoza kwa kupiga show
nyingine za nje, Ally Kiba alipata kuwa gumzo tena katika jiji la
Muscat baada ya kukonga nyoyo za wapendanao siku ya Valentines kwa
kupiga show kabambe na live band huku kila nyimbo ikiimbwa Live na
kuwafanya wageni waliohudhuria kumshingalia kila mara, Tazama mwenyewe
jinsi mambo yalivyokuwa..
KILA MWANAUME NILIYEGUSA ALIFILISIKA
-
Sijui nilianza kuichukia nafsi yangu lini, lakini ilianza taratibu.
Mwanaume wa kwanza aliyenipenda kwa dhati alipoteza kazi wiki tatu baada ya
tumeanza m...
3 hours ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment