Mmiliki wa Tuzo tano za Kili Musi Award Abas Kinzasa 20%, Leo kupitia ukurasa wake wa Facebook, amefunguka maneno makali kwa Mbunge wa Mbeya Mjini ambaye pia bi Muasisi wa muziki wa bongo fleva MH: Joseph Mbilinyi na Mfalme wa Rhymes Tanzania Afande Sele huku akikataa kuwekwa miungoni mwao.
Twent Parcent KinzasaMh Sugu.hafikirii chchte,wala kuzungumzia chchte kuhusu Mh Sele?Real Friend Not Change..Mm nilikuwa mshabiki wa hawa maswahiba,itabaki hvyo..musiniweke kwenye kundi la m1 wao.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment