Huu ni mfereji wa maji machafu ambao unaingiza maji haya katika mto Morogoro kutoka katika mkusanyiko wa Mifereji ya maji machafu. Maji ya mto Morogoro hutumuwa na wakulima wa mboga za majani huko bondeni, pia kuna watu wanatumia kwa matumizi ya nyumbani. Je unasemaje kuhusiana na walaji na watumiaji wa maji huko bondeni?? Mfereji huu upo katika daraja la shani katikati ya mji
SPIKA ZUNGU AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WA EU
-
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu,
amekutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya Mabalozi wa Nchi Wanachama wa
Umo...
27 minutes ago





0 MAONI YAKO:
Post a Comment