Jamani tuongee ukweli,kuhonga hakuongezi
kupendwa palipo penzi la dhati.Penzi la muda mfupi au la sku moja
kuhonga kutaweza kukusaidia lakini kwa mwanamke au mwanaume anayekupenda
haihitaji kuhonga. hii sio kwa awanaume tu hata wanawake wanaohonga. Kwa uzoefu wangu huu penzi la kweli halipatikani kwa kuhonga bali kuridhiana na kupendana. Usijidanganye wala kujipotezea muda na pesa zako kuhonga kutafuta penzi la dhati utajuta bure. Karibuni wadau kuongezea elimu au kuniweka sawa.
Official Music Video: Sauti Sol feat Patoranking - Melanin
Kutoka Jamhuri ya watu wa Kenya ni kundi linalofanya vema sana katika ulimwengu wa muziki Barani Afrika kwa sasa kundi la Sauti Sol wanatuletea video ya wimbo wao mpya kabisa unaitwa Melanin hapa wakiwa na mw…Read More
NEWS: Mugabe ajiuzulu urais Zimbabwe
Aliyekuwa rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe.
SPIKA wa bunge la Zimbabwe, Jacob Mudenda jioni ya leo ametangaza kuwa rais Robert Mugabe amejiuzulu.
Spika huyo amesema kuwa hatua hiyo ni ya kujitolea …Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment