Watu wengine wamediriki hata kukataza kabisa wapenzi wao wasivae urembo huo, mimi binafsi siwezi kuongozana na mtu amevaa kitu kama hicho. Haya sasa kazi kwako mdau, wewe unaonaje ni sawa urembo huo kutumika, na je mwenza wako akivaa urembo huo, utaafiki..!!?
Tundu Lissu akwama Mahakamani
-
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam, imetupilia
mbali maombi ya...
4 hours ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment