Je Unaweza kufanya unyama kama huu
ukisikia mtu wako anatoka kimapenzi na mtu mwingine? Basi hii imetokea
hivi karibuni msichana mmoja baada ya kusikia boyfriend wake anatoka na
msichana mwingine alitoka na kumtafuta huyu msichana na kumchana chana
na kisu kama unavyoona hapo kwenye picha......
0 MAONI YAKO:
Post a Comment